Business Development Manager
S3 EDUCATION CONSULTANTS's Company
Golden enterprises
Posted 1 hours ago · Expires Oct 18, 2026
๐ฅ๐ฑ TUNATAFUTA CONTENT CREATOR & DIGITAL MARKETING ASSISTANT
Una kipaji cha kupiga picha, kutengeneza video zinazovutia na kukuza biashara kupitia Instagram & TikTok?
Basi nafasi hii ni kwa ajili yako! ๐ฅ
Tunatafuta kijana mwenye ubunifu, nguvu na passion ya digital marketing kujiunga na team yetu.
๐ผ MAJUKUMU YAKO
๐ธ Kupiga picha na video za bidhaa kwa ubora
๐ฌ Kutengeneza Reels, TikTok & Stories
๐ฑ Kusimamia Instagram, TikTok & Facebook
โ๐ฝ Kuandika captions na content zinazovutia wateja
๐ข Kusaidia kuandaa na kusimamia matangazo ya online
๐ก Kuleta ideas mpya za content zinazoweza kuongeza mauzo
๐ Kufuatilia performance ya content na matangazo
๐ค TUNATAFUTA MTU MWENYE:
โ Uzoefu wa content creation/social media
โ Uwezo wa kutumia simu/camera kupiga picha na video
โ Uwezo wa ku-edit video — CapCut, Canva n.k.
โ Anaelewa Instagram, TikTok & Facebook
โ Creative, mchapakazi na anayejifunza haraka
โ Anaelewa kwamba content nzuri lazima ilete attention → inquiries → sales
๐ฏ Uzoefu wa fashion/kids fashion ni advantage.
๐ Mahali: Kigamboni, Dar es Salaam
๐ UNATAKA KUJIUNGA NASI?
Tuma: 1. Jina lako
2. Umri
3. Mahali unapoishi
4. Uzoefu wako
5. Link ya kazi zako/portfolio
6. Video au picha 2–3 ulizowahi kutengeneza
๐ฒ Tuma kwena WhatsApp: +255757063509
Golden enterprises
Dar es Salaam
Enterpreneur
S3 EDUCATION CONSULTANTS's Company
The Honeyguide Foundation