GOVERNANCE MANAGER
Ubongo
Golden enterprises
Posted 2 weeks ago · Expires Oct 18, 2026
🎥📱 TUNATAFUTA CONTENT CREATOR & DIGITAL MARKETING ASSISTANT
Una kipaji cha kupiga picha, kutengeneza video zinazovutia na kukuza biashara kupitia Instagram & TikTok?
Basi nafasi hii ni kwa ajili yako! 🔥
Tunatafuta kijana mwenye ubunifu, nguvu na passion ya digital marketing kujiunga na team yetu.
💼 MAJUKUMU YAKO
📸 Kupiga picha na video za bidhaa kwa ubora
🎬 Kutengeneza Reels, TikTok & Stories
📱 Kusimamia Instagram, TikTok & Facebook
✍🏽 Kuandika captions na content zinazovutia wateja
📢 Kusaidia kuandaa na kusimamia matangazo ya online
💡 Kuleta ideas mpya za content zinazoweza kuongeza mauzo
📊 Kufuatilia performance ya content na matangazo
👤 TUNATAFUTA MTU MWENYE:
✅ Uzoefu wa content creation/social media
✅ Uwezo wa kutumia simu/camera kupiga picha na video
✅ Uwezo wa ku-edit video — CapCut, Canva n.k.
✅ Anaelewa Instagram, TikTok & Facebook
✅ Creative, mchapakazi na anayejifunza haraka
✅ Anaelewa kwamba content nzuri lazima ilete attention → inquiries → sales
🎯 Uzoefu wa fashion/kids fashion ni advantage.
📍 Mahali: Kigamboni, Dar es Salaam
🚀 UNATAKA KUJIUNGA NASI?
Tuma: 1. Jina lako
2. Umri
3. Mahali unapoishi
4. Uzoefu wako
5. Link ya kazi zako/portfolio
6. Video au picha 2–3 ulizowahi kutengeneza
📲 Tuma kwena WhatsApp: +255757063509
Application details are available to registered JobsTanzania candidates.
Login to ApplyDon't have an account? Register as Job Seeker
Golden enterprises
Dar es Salaam
Enterpreneur
Ubongo