Madereva 10 wa Scania Wanahitajika Haraka Route ya Lusaka, Zambia
Humavalue Consulting Limited
Mofat
Posted 3 hours ago · Expires Oct 28, 2026
Dereva wa Basi la Mwendokasi (BRT) atawajibika kuendesha basi kwa usalama, umakini na weledi, huku akizingatia ratiba, njia na vituo vilivyopangwa.
Dereva pia atawajibika kuhakikisha usalama wa abiria, kufanya ukaguzi wa basi kabla na baada ya safari, kuzingatia sheria za usalama barabarani na taratibu za BRT, pamoja na kutoa huduma bora kwa abiria.
Pata taarifa za nafasi mpya za kazi Tanzania.
👉 Jiunge na JobsTanzania WhatsApp Group
Pata msaada wa kitaalamu wa CV, LinkedIn na maandalizi ya usaili.
👉 Pata Huduma ya CV & LinkedIn
👉 Jiandikishe Kupokea SMS za Kazi
Mwombaji anatakiwa kuwa na:
Dereva wa BRT atawajibika:
Waombaji wanapaswa kuzingatia hasa mahitaji yafuatayo:
🚍 Leseni: Daraja C Plain iliyohakikiwa na Jeshi la Polisi
📄 PSV: Cheti kutoka VETA au NIT
🚌 BRT: Cheti cha BRT kutoka NIT
⏱️ Uzoefu: Angalau miaka 3 ya kuendesha magari ya abiria au mabasi
Salary Grade: GRADE 4
Kiasi halisi cha mshahara hakijaainishwa katika taarifa ya nafasi iliyotolewa.
Application details are available to registered JobsTanzania candidates.
Login to ApplyDon't have an account? Register as Job Seeker
Mofat
Dar es Salaam
Welcome to Mofat, your trusted partner in logistics and transportation solutions. We are dedicated to providing reliable and innovative services that ensure the smooth movement of goods across various...
Humavalue Consulting Limited