Procurement Opportunities (Engineer & Officer Roles)
Said Salim Bakhresa & Co. Ltd (SSB)
TAKUKURU (PCCB)
Posted 4 days ago · Expires May 12, 2026
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) inawatangazia Watanzania wenye sifa kuomba kazi katika ofisi zake za Wilaya kama ifuatavyo:
✅ NAFASI ZA KAZI ZILIZOPO
1️⃣ AFISA UCHUNGUZI
IDADI YA NAFASI: 250
SIFA ZA KITAALUMA:
Mwombaji awe na Shahada ya Kwanza kutoka chuo kinachotambuliwa na Serikali katika mojawapo ya fani zifuatazo:
•Uhasibu
•Usimamizi wa Biashara
•Sayansi ya Kompyuta / TEHAMA
•Uhandisi (Umeme, Ujenzi, Mitambo, Maji, Mafuta na Gesi)
•Sheria
•Uchumi na Mipango
•Ununuzi na Ugavi
•Usimamizi wa Rasilimali Watu
•Usimamizi wa Miradi
•Utawala wa Umma
•Mahusiano ya Umma / Mawasiliano
(na fani nyingine kama zilivyoainishwa kwenye tangazo rasmi)
✅ Ufaulu: Daraja la Pili la Chini (Lower Second Class) au zaidi
✅ Waliosajiliwa na Bodi za Kitaaluma watapewa kipaumbele
✅ Umri: Chini ya miaka 29 kufikia Mei, 2026
2️⃣ MCHUNGUZI MSAIDIZI
IDADI YA NAFASI: 250
FANI ZINAZOHITAJIKA:
•ULINZI (Security Skills / Law Enforcement)
•UFUNDI WA MAGARI (NVA/NTA Ngazi ya 3–4)
•UDEREVA (Leseni Daraja C)
•MHUDUMU WA OFISI / HUDUMA KWA WATEJA
•MSAIDIZI WA UHASIBU
•KATIBU MUHTASI
•FUNDI WA KOMPYUTA
•FUNDI WA MASHINE ZA OFISI (Printer, Photocopier, Scanner)
✅ Elimu: Cheti au Stashahada kutoka taasisi zinazotambuliwa
✅ Umri: Miaka 18–25
✅ Uzoefu wa kazi utazingatiwa
📌 MASHARTI YA JUMLA KWA WAOMBAJI WOTE
•Awe Raia wa Tanzania
•Awe na uadilifu na asiwe na rekodi ya uhalifu
•Awe tayari kufanya kazi popote Tanzania Bara
•Awasilishe vyeti halisi vilivyothibitishwa
•Awe na Namba ya NIDA
•Aambatishe CV, Vyeti vya Masomo, Cheti cha Kuzaliwa na Picha ya Pasipoti
•Maombi yasiyo kamili hayatazingatiwa
📨 JINSI YA KUTUMA MAOMBI
✅ Maombi yote yatolewe MTANDAONI TU kupitia mfumo wa TAKUKURU:
👉 https://ajira.pccb.go.tz
❌ Maombi ya mkono au kwa posta hayataruhusiwa.
⏰ MWISHO WA KUTUMA MAOMBI
TAREHE 03 MEI, 2026
💡 Ushauri wa JobsTanzania
Kutafuta kazi ni mchezo wa namba.
Omba mapema. Omba kwa usahihi. Fuata maelekezo.
TAKUKURU (PCCB)
Dodoma
Said Salim Bakhresa & Co. Ltd (SSB)
Havenedge Solutions Limited
Install JobsTanzania
Quick access to jobs, CV builder & more — even offline!