Yard & Stores Supervisor Job at SBC Tanzania Limited – Dodoma 2026
SBC Tanzania Limited
HumanValue Consulting Limited (Agency)
Posted 1 hours ago · Expires Nov 14, 2026
HumanValue inatafuta watu wenye sifa za kufanya kazi kiwandani katika eneo la Chang'ombe Viwandani, Temeke, Dar es Salaam.
Sifa:
Awe amehitimu elimu ya Kidato cha Nne.
Awe tayari kufanya kazi kiwandani.
Sifa:
Awe amepata mafunzo ya Welding kupitia VETA.
Awe tayari kufanya kazi kiwandani.
Chang'ombe Viwandani, Temeke, Dar es Salaam, Tanzania.
Waombaji wenye sifa wanatakiwa kutuma CV kupitia WhatsApp pekee.
WhatsApp: +255 752 296 850
Tuma CV kupitia kiungo hiki:
MUHIMU: TAFADHALI USIPIGE SIMU. TUMA CV KUPITIA WHATSAPP PEKEE.
Mwombaji aeleze nafasi anayoomba:
Kibarua wa Kiwandani
Fundi Welding
Mwisho wa Kutuma Maombi: Haujaainishwa.
HumanValue Consulting Limited na JobsTanzania zinatoa huduma za kutangaza nafasi za kazi na kusaidia waajiri kufikia watafuta kazi.
Jisajili kama Mwajiri:
https://jobstanzania.co.tz/register
HumanValue Talent Bank:
https://jobstanzania.co.tz/talent-bank
HumanValue Consulting Limited — Unlock Human Potential.
Kutuma maombi ya kazi za kawaida ni bure.
A free, optional review before applying. No purchase required.
Scan my CV (FREE)Application details are available to registered JobsTanzania candidates.
Login to ApplyDon't have an account? Register as Job Seeker
HumanValue Consulting Limited (Agency)
Dar es Salaam
This position is posted by a recruitment agency on behalf of their client.
SBC Tanzania Limited
Bonite Bottlers Limited