JobsTanzaniaJobsTanzania
Humavalue Consulting Limited
Featured

NAFASI ZA KAZI - SUPERVISORS (3) , ELECTRICAL TECHNICIANS (5), AND TRUCK DRIVERS (12)

Humavalue Consulting Limited

Dar es Salaam Full Time Engineering & Technical Negotiable

Posted 1 hours ago · Expires Oct 24, 2026

Job Description

HumanValue Consulting Limited, kwa niaba ya mteja wake anayefanya shughuli katika sekta ya Steel Manufacturing, inakaribisha maombi kutoka kwa wataalamu na madereva wenye uzoefu kwa nafasi mbalimbali.

Nafasi zinazopatikana ni Supervisor (3) , Electrical Technicians (5) na Madereva 12 wa Magari ya Mizigo.

Waombaji wanapaswa kuwa na uzoefu unaohusiana moja kwa moja na nafasi wanayoomba. Kwa nafasi za Supervisor na Electrical Technician, uzoefu katika mazingira ya steel manufacturing ni muhimu.


JOIN HUMANVALUE OPPORTUNITIES

πŸ“² JobsTanzania WhatsApp Group

Pata taarifa za nafasi mpya za kazi na fursa mbalimbali kupitia JobsTanzania.

πŸ‘‰ Join JobsTanzania WhatsApp Group


🌐 HumanValue Premium Services

Pata huduma za kitaalamu za HumanValue kwa ajili ya kuboresha nafasi zako katika soko la ajira.

πŸ‘‰ View HumanValue Premium Services


FOR JOB SEEKERS

βœ… Professional CV Writing Service

Boresha CV yako na namna unavyojiwasilisha kwa waajiri kwa kutumia huduma ya kitaalamu ya CV Writing.

πŸ‘‰ Book CV Service


βœ… Daily SMS Job Alerts

Pokea taarifa za nafasi mpya za kazi moja kwa moja kwenye simu yako.

πŸ‘‰ Subscribe to SMS Job Alerts


FOR EMPLOYERS & RECRUITMENT AGENCIES

βœ… Post Jobs for Free

Waajiri na Recruitment Agencies wanaweza kutangaza nafasi zao kupitia JobsTanzania.

πŸ‘‰ Post Jobs Free


AVAILABLE VACANCIES

1. SUPERVISOR – NASAFI 3

HumanValue inatafuta Supervisor mwenye uzoefu katika mazingira ya Steel Manufacturing kwa ajili ya kusimamia shughuli za uzalishaji na kuhakikisha kazi zinafanyika kwa ufanisi kulingana na majukumu atakayopangiwa.

Qualifications & Experience

  • Awe na angalau miaka 5 ya uzoefu katika kazi inayofanana.
  • Awe na uzoefu unaohusiana na mazingira ya Steel Manufacturing.
  • Awe na uwezo wa kufanya kazi katika mazingira ya uzalishaji viwandani.
  • Awe tayari kutekeleza majukumu ya usimamizi yatakayopangwa na kampuni.

Salary

πŸ’° TZS 400,000 kwa mwezi


2. ELECTRICAL TECHNICIANS – NAFASI 5

HumanValue inatafuta Electrical Technicians wenye uzoefu wa kufanya kazi katika mazingira ya Steel Manufacturing.

Waombaji wanapaswa kuwa na uelewa wa mifumo ya umeme inayotumika katika mazingira ya uzalishaji viwandani pamoja na uwezo wa kutumia mifumo ya kidigitali inayosaidia kufuatilia electrical parameters.

Qualifications & Experience

  • Awe na angalau miaka 2 ya uzoefu katika Steel Manufacturing Industry.
  • Awe na uzoefu wa kufanya kazi na mifumo ya umeme katika mazingira ya viwandani.
  • Awe na uwezo wa kutumia digital computer dashboards zinazohusiana na electrical parameters.
  • Awe na uwezo wa kufuatilia na kufanya kazi na electrical parameters zinazotumika katika shughuli za uzalishaji.

3. HEAVY TRUCK DRIVERS – NAFASI 12

HumanValue pia inatafuta Madereva 12 wa Magari Makubwa ya Mizigo kwa ajili ya kuendesha magari ya mizigo ya aina mbalimbali.

Madereva wenye uzoefu wa kuendesha magari makubwa ya mizigo, hususan aina zilizotajwa hapa chini, wanahimizwa kuomba.

Magari Yanayohusika

πŸš› HOWO Open Board – Tani 30

πŸ’° Mshahara: TZS 450,000 kwa mwezi

πŸš› TATA – Tani 15

πŸ’° Mshahara: TZS 350,000 kwa mwezi

πŸš› TATA – Tani 10

πŸ’° Mshahara: TZS 350,000 kwa mwezi

Qualifications & Experience

  • Awe na uzoefu wa kuendesha magari makubwa ya mizigo.
  • Awe na uwezo wa kuendesha gari linalohusiana na nafasi anayoomba.
  • Uzoefu wa kuendesha HOWO Open Board Tani 30, TATA Tani 15 au TATA Tani 10 utahitajika kulingana na nafasi.
  • Awe tayari kufanya kazi kulingana na mahitaji ya kampuni.

APPLICATION DETAILS

Recruitment Company: HumanValue Consulting Limited
Industry: Steel Manufacturing
Available Driver Positions: 12
Recruitment Status: Urgent

Waombaji wanapaswa kuonyesha wazi nafasi wanayoomba:

  • Supervisor – Steel Manufacturing
  • Electrical Technician – Steel Manufacturing
  • Driver – HOWO Open Board 30 Ton
  • Driver – TATA 15 Ton
  • Driver – TATA 10 Ton

WHY APPLY FOR THESE OPPORTUNITIES?

Nafasi hizi zinatoa fursa kwa wataalamu na madereva wenye uzoefu kutumia ujuzi wao katika mazingira ya Steel Manufacturing na industrial operations.

Kwa Supervisor na Electrical Technicians, nafasi hizi zinahitaji uzoefu unaohusiana na shughuli za viwandani na uzalishaji wa chuma.

Kwa Madereva, nafasi zinawalenga watu wenye uzoefu wa kuendesha magari makubwa ya mizigo, yakiwemo HOWO Open Board na TATA.

πŸ“© TUMA MAOMBI HARAKA:
HR@JobsTanzania.co.tz
πŸ“± WhatsApp: 0752 296 850

HumanValue Consulting Limited
Unlock Human Potential.


CAREER & EMPLOYER RESOURCES

πŸ“– Career Advice & Hiring Insights

Pata taarifa, ushauri wa kazi na maarifa kuhusu recruitment kupitia JobsTanzania.

πŸ‘‰ JobsTanzania Career Resources


HUMANVALUE CAREER SUPPORT SERVICES

Unahitaji kuimarisha CV na maandalizi yako kabla ya kutuma maombi?

HumanValue Career Support Services inajumuisha:

βœ… Professional CV Writing
βœ… LinkedIn Profile Optimization
βœ… Interview Coaching
βœ… Executive Career Branding
βœ… Cover Letter Writing

πŸ“§ HR@JobsTanzania.co.tz

πŸ“± +255 722 377 968

πŸ‘‰ View HumanValue Services


JOIN HUMANVALUE PREMIUM WHATSAPP NETWORK

Jiunge kupata:

  • Nafasi mpya za kazi
  • Executive opportunities
  • Recruitment updates
  • Hiring alerts
  • CV tips
  • Interview preparation resources

πŸ‘‰ Join HumanValue Premium WhatsApp Network


 

Share this job

Share on WhatsApp

Apply for this position

Application details are available to registered JobsTanzania candidates.

Login to Apply

Don't have an account? Register as Job Seeker

About the Company

Humavalue Consulting Limited

Dar es Salaam

Similar Jobs