Wafanyakazi wa Ndani (House Caretakers) - NAFASI 100
HumanValue Consulting Limited (Agency)
Posted 1 hours ago · Expires Dec 25, 2026
Job Description
HumanValue Consulting Limited inatangaza nafasi za kazi kwa Wafanyakazi wa Ndani (House Caretakers) katika familia binafsi nchini Saudi Arabia.
- Eneo la kazi: Saudi Arabia
- Mshahara: TSh 639,000 kwa mwezi
- Muda wa mkataba: Miaka 2
Stahiki
Viza, tiketi ya ndege na bima ya afya vinatolewa bila gharama wala makato.
Majukumu makuu
- Kusaidia kufanya usafi wa nyumba.
- Kupika na kuandaa chakula.
- Kulea na kutunza watoto inapohitajika.
- Kufua, kupiga pasi na kupanga nguo.
- Kutekeleza majukumu mengine ya nyumbani kulingana na mahitaji ya familia.
Sifa za mwombaji
- Awe na umri wa miaka 21 hadi 45.
- Aweze kuzungumza Kiingereza cha kiwango cha msingi hadi cha kati.
- Awe na afya njema na pasipoti halali.
- Awe mwaminifu, mtiifu na mwenye nidhamu.
Jinsi ya kutuma maombi
Tuma nyaraka zifuatazo kupitia WhatsApp:
- Nakala ya pasipoti.
- Picha iliyo wazi ya ukubwa wa pasipoti.
- CV (wasifu wa kazi).
Tuma maombi kwa WhatsApp +255 722 377 968
Kwa maelezo zaidi, piga simu +255 722 377 968.
Mwisho wa kutuma maombi:
Share this job
Apply for this position
A free, optional review before applying. No purchase required.
Scan my CV (FREE)Application information
Application details are available to registered JobsTanzania candidates.
Login to ApplyDon't have an account? Register as Job Seeker
Posted by Agency
HumanValue Consulting Limited (Agency)
Dar es Salaam
This position is posted by a recruitment agency on behalf of their client.
Similar Jobs
AI Trainer – Swahili
HumanValue Consulting Limited (Agency)
