TRANSPORT SUPERVISOR
SinoTan
DFC
Posted 2 weeks ago · Expires Oct 22, 2026
Kampuni inatafuta Madereva 10 wa Magari Makubwa (Scania 12 Gears) wenye uzoefu wa kuendesha malori ya mizigo kwenye safari za masafa marefu ndani ya Afrika Mashariki na Kati. Nafasi hizi zinafaa kwa madereva wenye nidhamu, wanaojua safari za kimataifa, na wenye uwezo wa kuhakikisha usalama wa gari, mizigo na nyaraka za safari.
Hii ni fursa nzuri kwa madereva wanaotafuta ajira yenye kipato kizuri, posho za safari, na mkataba wa mwaka mmoja unaoweza kuongezwa kulingana na utendaji wa kazi.
✅ Mshahara: TZS 400,000 kwa mwezi
✅ Mileage Allowance: Hadi TZS 900,000 kulingana na safari
✅ Mkataba: Mwaka 1
✅ Safari za ndani na nje ya Tanzania
✅ Fursa ya kuendelea na ajira kulingana na mahitaji ya kampuni
📞 Usitume CV kwanza!
Ikiwa una uzoefu unaohitajika na uko tayari kuanza kazi haraka:
Nafasi ni 10 tu. Wenye sifa wanashauriwa kupiga simu mapema kabla nafasi hazijajazwa
A free, optional review before applying. No purchase required.
Scan my CV (FREE)Application details are available to registered JobsTanzania candidates.
Login to ApplyDon't have an account? Register as Job Seeker
DFC
Dar es Salaam
SinoTan