
VISUAL COURSE · 3 HOURS
Warehouse, Inventory & Logistics Management
ERP and Excel practice, stock analytics labs, chapter exercises and downloadable materials.
TZS 50,000
Preview course & enrol →HumanValue Consulting Limited (Agency)
Posted 1 hours ago · Expires Nov 22, 2026
Mwajiri: Kampuni ya Nishati ya Jua (Solar), kupitia HumanValue Consulting Limited
Mahali pa Kazi: Mikocheni B, Dar es Salaam
Nafasi: 2
Aina ya Kazi: Udereva na Usambazaji wa Bidhaa
HumanValue Consulting Limited, kwa niaba ya mteja wetu anayejihusisha na biashara ya vifaa vya nishati ya jua (Solar) jijini Dar es Salaam, inakaribisha maombi kutoka kwa madereva wenye uzoefu, nidhamu na uaminifu kujaza nafasi mbili (2) za Madereva wa Magari Madogo.
Waombaji watakaofanikiwa wataendesha magari ya kampuni ya tani 3.5 na kusaidia shughuli za usafirishaji na usambazaji wa bidhaa kwa wateja.
Kuendesha magari ya kampuni kwa usalama na kuzingatia sheria za barabarani.
Kusafirisha na kusambaza vifaa vya solar kwa wateja.
Kukagua hali ya gari kabla na baada ya safari.
Kuhakikisha bidhaa zinafika kwa usalama na kwa wakati.
Kutunza kumbukumbu za safari na matumizi ya mafuta.
Kuripoti hitilafu za gari na kuhakikisha linatunzwa vizuri.
Kushirikiana na timu ya ghala katika shughuli za usambazaji.
Leseni halali ya udereva Class D, inayoruhusu kuendesha gari husika.
Uzoefu wa udereva wa angalau miaka mitano (5).
Umri unaolengwa: miaka 30–45.
Uwezo wa kuendesha magari ya mizigo ya tani 3.5.
Uaminifu, nidhamu, uwajibikaji na kuzingatia usalama barabarani.
Uelewa mzuri wa barabara za Dar es Salaam.
Uzoefu wa usambazaji wa bidhaa utakuwa faida ya ziada.
Waombaji wenye sifa watume CV iliyosasishwa, nakala ya leseni ya udereva na maelezo ya uzoefu wa kazi kupitia mojawapo ya njia zifuatazo:
WhatsApp: +255 722 377 968
https://wa.me/255722377968
Barua pepe: HR@Jobstanzia.co.tz
Kichwa cha maombi: DEREVA CLASS D – SOLAR – DAR ES SALAAM
Waombaji wenye sifa zinazohitajika watawasiliana na timu ya HumanValue kwa hatua zinazofuata za mchakato wa ajira.
A free, optional review before applying. No purchase required.
Scan my CV (FREE)Application details are available to registered JobsTanzania candidates.
Login to ApplyDon't have an account? Register as Job Seeker
HUMANVALUE · RECOMMENDED SKILLS

VISUAL COURSE · 3 HOURS
ERP and Excel practice, stock analytics labs, chapter exercises and downloadable materials.
TZS 50,000
Preview course & enrol →
EBOOK + EXCEL TOOLKIT
36-page visual handbook, worked exercises and a 12-sheet Excel workbook.
TZS 20,000
View ebook & buy →Optional learning resources from HumanValue Consulting Limited. Purchase is separate from applying for a job.
HumanValue Consulting Limited (Agency)
Dar es Salaam
This position is posted by a recruitment agency on behalf of their client.
HumanValue Consulting Limited (Agency)