SALES AND DISTRIBUTION OFFICER
Golden enterprises
Posted 2 weeks ago · Expires Oct 19, 2026
Job Description
NAFASI YA KAZI – SALES & DISTRIBUTION OFFICER 🚨
Tunatafuta kijana mwenye bidii, nidhamu na uwezo wa kuuza na kusambaza bidhaa.
🔹 SIFA ZINAZOHITAJIKA:
✅ Awe na uwezo mzuri wa kuendesha pikipiki
✅ Awe na leseni hai ya pikipiki
✅ Awe mchapakazi, mwaminifu na mwenye nidhamu
✅ Awe na uwezo wa kuwasiliana vizuri na wateja
✅ Awe tayari kutembelea maduka, supermarkets na maeneo mbalimbali kwa ajili ya mauzo
⭐ Mwenye uzoefu wa kuuza bidhaa za chakula, lishe, spices/masala au bidhaa zinazohusiana na chakula atapewa kipaumbele.
💼 MAJUKUMU:
• Kutafuta na kuhudumia wateja wapya
• Kusambaza na kuuza bidhaa za chakula
• Kufuatilia oda na malipo ya wateja
• Kujenga mahusiano mazuri na maduka na retailers
• Kufanya kazi kwa malengo ya mauzo
📍 Eneo: Kigamboni / Dar es Salaam
📞 Tuma maombi kupitia WhatsApp: +255 695 803 643
Share this job
Apply for this position
A free, optional review before applying. No purchase required.
Scan my CV (FREE)Application information
Application details are available to registered JobsTanzania candidates.
Login to ApplyDon't have an account? Register as Job Seeker
About the Company
Golden enterprises
Dar es Salaam
Enterpreneur
Similar Jobs